Ezekieli 24:24 BHN

24 Nami Ezekieli nitakuwa ishara kwenu: Mtafanya kila kitu kama nilivyotenda. Wakati mambo hayo yatakapotukia, mtatambua kuwa yeye ndiye Bwana Mwenyezi-Mungu.”

Kusoma sura kamili Ezekieli 24

Mtazamo Ezekieli 24:24 katika mazingira