Ezekieli 24:25 BHN

25 Mwenyezi-Mungu akaniambia, “Wewe mtu! Siku ile nitakapoondoa kwao hicho ambacho ni tegemeo lao, na sababu ya shangwe yao, mahali ambapo wanapenda sana kupaona, nitawaondoa watoto wao wa kiume na wa kike.

Kusoma sura kamili Ezekieli 24

Mtazamo Ezekieli 24:25 katika mazingira