Ezekieli 25:4 BHN

4 Basi, nitawatia nyinyi mikononi mwa watu wa mashariki; watapiga hema zao kati yenu na kufanya makazi yao katika nchi yenu. Nao watakula matunda yenu na kunywa maziwa yenu.

Kusoma sura kamili Ezekieli 25

Mtazamo Ezekieli 25:4 katika mazingira