Ezekieli 25:5 BHN

5 Mji wa Raba nitaufanya kuwa malisho ya ngamia na nchi ya Amoni zizi la kondoo. Ndipo mtakapotambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Ezekieli 25

Mtazamo Ezekieli 25:5 katika mazingira