Ezekieli 26:10 BHN

10 Farasi wa mfalme Nebukadneza ni wengi na vumbi watakalotimua litakufunika. Kuta zako zitatetemeka kwa mshindo wa wapandafarasi na magari ya vita na ya mizigo wakati atakapoingia kwenye malango yako kama watu waingiavyo mjini kupitia mahali palipobomolewa.

Kusoma sura kamili Ezekieli 26

Mtazamo Ezekieli 26:10 katika mazingira