Ezekieli 26:11 BHN

11 Kwa kwato za farasi wake, ataikanyaga mitaa yako yote. Atawaua watu wako kwa panga; minara yako mikubwa ataiangusha chini.

Kusoma sura kamili Ezekieli 26

Mtazamo Ezekieli 26:11 katika mazingira