Ezekieli 26:12 BHN

12 Utajiri wako watauteka pamoja na bidhaa zako. Watazibomoa kuta zako na kuziangusha nyumba zako za fahari; mawe, mbao na udongo ulivyotumia kujengea nyumba hizo watavitupa baharini.

Kusoma sura kamili Ezekieli 26

Mtazamo Ezekieli 26:12 katika mazingira