14 Nitakufanya kuwa jabali tupu; utakuwa mahali pa wavuvi kukaushia nyavu zao, wala hutajengwa tena. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.
Kusoma sura kamili Ezekieli 26
Mtazamo Ezekieli 26:14 katika mazingira