15 “Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nakuambia hivi wewe Tiro: Wakazi wa sehemu za pwani watatetemeka watakaposikia kishindo cha kuanguka kwako na mlio wa majeruhi na wa watu wanaouawa.
Kusoma sura kamili Ezekieli 26
Mtazamo Ezekieli 26:15 katika mazingira