17 Wataimba utenzi huu wa kuomboleza:Umeangamizwa wewe mji maarufu,umetoweka kutoka baharini!Wakazi wake walieneza nguvu zao juu ya bahari,ambapo walihofiwa na wote.
Kusoma sura kamili Ezekieli 26
Mtazamo Ezekieli 26:17 katika mazingira