20 Nitakuteremsha shimoni ili ujiunge na walioko huko, walioishi duniani zamani; nitakufanya ukae huko katika mahame milele. Hutakaliwa na watu milele na hutakuwa na nafasi miongoni mwa nchi za walio hai.
Kusoma sura kamili Ezekieli 26
Mtazamo Ezekieli 26:20 katika mazingira