21 Nitakufanya kuwa kitisho wala hutakuwapo tena; watu watakutafuta, lakini hawatakupata tena. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Kusoma sura kamili Ezekieli 26
Mtazamo Ezekieli 26:21 katika mazingira