12 Watu wa Tarshishi walifanya biashara nawe kwa sababu ya utajiri wako mwingi na wa kila namna. Walitoa fedha, chuma, bati, na risasi kupata bidhaa zako.
Kusoma sura kamili Ezekieli 27
Mtazamo Ezekieli 27:12 katika mazingira