13 Watu wa Yavani, Tubali na Mesheki, walifanya biashara nawe, wakakupatia watumwa na vifaa vya shaba wapate bidhaa zako.
Kusoma sura kamili Ezekieli 27
Mtazamo Ezekieli 27:13 katika mazingira