Ezekieli 27:18 BHN

18 Watu wa Damasko walifanya biashara nawe kwa sababu ya wingi wa bidhaa zako; walikupa divai kutoka Helboni na sufu nyeupe.

Kusoma sura kamili Ezekieli 27

Mtazamo Ezekieli 27:18 katika mazingira