Ezekieli 27:19 BHN

19 Vedani na Yavani walisafirisha bidhaa zako toka Uzali; hata chuma kilichofuliwa, mdalasini na mchaichai ili kupata bidhaa zako.

Kusoma sura kamili Ezekieli 27

Mtazamo Ezekieli 27:19 katika mazingira