Ezekieli 27:22 BHN

22 Wachuuzi wa Sheba na wa Rama walifanya biashara nawe; walikuletea viungo vya chakula, vito vya thamani na dhahabu kujipatia bidhaa zako safi.

Kusoma sura kamili Ezekieli 27

Mtazamo Ezekieli 27:22 katika mazingira