Ezekieli 27:34 BHN

34 Lakini sasa umevunjikia baharini;umeangamia katika vilindi vya maji.Shehena yako na jamii ya mabahariavimezama pamoja nawe.

Kusoma sura kamili Ezekieli 27

Mtazamo Ezekieli 27:34 katika mazingira