9 Kwa sababu umesema kuwa mto Nili ni wako, kwamba ndiwe uliyeufanya, basi, nchi yako, Misri, itakuwa tupu na jangwa. Ndipo watu watatambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu.
Kusoma sura kamili Ezekieli 29
Mtazamo Ezekieli 29:9 katika mazingira