Ezekieli 3:15 BHN

15 Nikawafikia wale watu waliokuwa uhamishoni, waliokuwa wakikaa karibu na mto Kebari huko Tel-abibu. Nikakaa nao kwa muda wa siku saba nikiwa nimepigwa bumbuazi.

Kusoma sura kamili Ezekieli 3

Mtazamo Ezekieli 3:15 katika mazingira