Ezekieli 3:14 BHN

14 Basi, roho ya Mungu ikaninyanyua juu na kunipeleka mbali. Nikaenda nikiwa na uchungu na ukali rohoni mwangu, nao mkono wa Mwenyezi-Mungu ulikuwa na nguvu juu yangu.

Kusoma sura kamili Ezekieli 3

Mtazamo Ezekieli 3:14 katika mazingira