Ezekieli 3:21 BHN

21 Lakini, ukimwonya mtu mwadilifu asitende dhambi, naye akaacha kutenda dhambi, hakika mtu huyo ataishi, kwa kuwa amepokea maonyo yako, nawe utakuwa umeyaokoa maisha yako.”

Kusoma sura kamili Ezekieli 3

Mtazamo Ezekieli 3:21 katika mazingira