Ezekieli 36:11 BHN

11 Nitawafanya watu na wanyama waongezeke na kuwa wengi. Nitawafanya nyinyi milima mkaliwe tena kama zamani. Nitawatendea mema mengi kuliko zamani. Nanyi mtatambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Ezekieli 36

Mtazamo Ezekieli 36:11 katika mazingira