Ezekieli 36:12 BHN

12 Nitawafanya watu wangu Israeli watembee juu yenu. Nanyi mtakuwa milki yao, wala hamtawafanya tena wafiwe na watoto wao.

Kusoma sura kamili Ezekieli 36

Mtazamo Ezekieli 36:12 katika mazingira