Ezekieli 36:17 BHN

17 “Wewe mtu! Waisraeli walipoishi katika nchi yao waliitia unajisi kwa mienendo na matendo yao. Niliyaona matendo yao kuwa sawa na mwanamke aliye najisi wakati wa siku zake.

Kusoma sura kamili Ezekieli 36

Mtazamo Ezekieli 36:17 katika mazingira