Ezekieli 36:18 BHN

18 Niliwamwagia ghadhabu yangu kwa sababu ya damu waliyomwaga katika nchi na kwa sababu ya miungu ambayo kwayo nchi ilitiwa unajisi.

Kusoma sura kamili Ezekieli 36

Mtazamo Ezekieli 36:18 katika mazingira