Ezekieli 36:19 BHN

19 Niliwatawanya kati ya mataifa, wakasambazwa katika nchi nyingine. Niliwaadhibu kadiri ya tabia yao na matendo yao.

Kusoma sura kamili Ezekieli 36

Mtazamo Ezekieli 36:19 katika mazingira