Ezekieli 36:20 BHN

20 Hata walipokuwa miongoni mwa mataifa walilikufuru jina langu takatifu, hata watu wakasema hivi juu yao: ‘Tazama! Hawa ndio wale watu wa Mwenyezi-Mungu, lakini wamelazimika kuondoka katika nchi yake!’

Kusoma sura kamili Ezekieli 36

Mtazamo Ezekieli 36:20 katika mazingira