Ezekieli 36:26 BHN

26 Nitawapeni moyo mpya na kuweka roho mpya ndani yenu. Nitauondoa kwenu moyo mgumu kama jiwe na kuwapa moyo wa utii.

Kusoma sura kamili Ezekieli 36

Mtazamo Ezekieli 36:26 katika mazingira