Ezekieli 36:27 BHN

27 Nitatia roho yangu ndani yenu; nitawafanya mfuate kanuni zangu na kuzingatia maazimio yangu.

Kusoma sura kamili Ezekieli 36

Mtazamo Ezekieli 36:27 katika mazingira