Ezekieli 36:30 BHN

30 Nitayazidisha matunda ya miti na mazao ya mashamba ili msiaibike tena kwa njaa kati ya mataifa.

Kusoma sura kamili Ezekieli 36

Mtazamo Ezekieli 36:30 katika mazingira