31 Kisha mtakapokumbuka mienendo yenu miovu na matendo yenu mabaya, mtajichukia wenyewe kwa sababu ya maovu yenu na machukizo mliyofanya.
Kusoma sura kamili Ezekieli 36
Mtazamo Ezekieli 36:31 katika mazingira