Ezekieli 36:32 BHN

32 Lakini jueni kwamba sitafanya hivyo kwa ajili yenu. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema. Oneni aibu na kufadhaika kwa sababu ya matendo yenu, enyi Waisraeli!

Kusoma sura kamili Ezekieli 36

Mtazamo Ezekieli 36:32 katika mazingira