Ezekieli 38:11 BHN

11 ‘Nitakwenda kuishambulia nchi isiyo na kuta, nchi ambako wananchi wake wanaishi kwa amani. Wote wanakaa katika miji isiyo na kuta; hawana makomeo wala malango.’

Kusoma sura kamili Ezekieli 38

Mtazamo Ezekieli 38:11 katika mazingira