Ezekieli 38:12 BHN

12 Utapora na kuteka mali za watu wanaokaa katika miji ambayo ilikuwa jangwa. Watu hao wamekusanywa kutoka mataifa na sasa wana mifugo na mali; nao wanakaa kwenye kitovu cha dunia.

Kusoma sura kamili Ezekieli 38

Mtazamo Ezekieli 38:12 katika mazingira