20 Samaki baharini na ndege warukao, wanyama wa porini, viumbe vyote vitambaavyo pamoja na watu wote duniani, watatetemeka kwa kuniona. Milima itaporomoshwa, magenge yataanguka na kuta zote zitaanguka chini.
Kusoma sura kamili Ezekieli 38
Mtazamo Ezekieli 38:20 katika mazingira