21 Nami nitasababisha kila namna ya tisho kumkabili Gogu. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema. Wanajeshi wake wataanza kushambuliana wenyewe kwa mapanga yao.
Kusoma sura kamili Ezekieli 38
Mtazamo Ezekieli 38:21 katika mazingira