Ezekieli 38:22 BHN

22 Nitamwadhibu Gogu kwa magonjwa mabaya na mauaji. Nitanyesha mvua nyingi, mvua ya mawe na moto wa madini ya kiberiti juu yake, juu ya vikosi vyake, na mataifa yale mengi yaliyo pamoja naye.

Kusoma sura kamili Ezekieli 38

Mtazamo Ezekieli 38:22 katika mazingira