Ezekieli 40:11 BHN

11 Kisha, yule mtu akapima upana wa nafasi ya kupitia katika lango. Upana wake ulikuwa mita 6.5. Ukubwa wote wa ukumbi wa katikati wa kupitia ulikuwa mita 5.

Kusoma sura kamili Ezekieli 40

Mtazamo Ezekieli 40:11 katika mazingira