Ezekieli 40:12 BHN

12 Mbele ya vyumba vya walinzi ambavyo vilikuwa mraba: Mita 3 kwa 3, kulikuwa na ukuta mfupi kama kizuizi ukiwa na kimo cha sentimita 50 na unene sentimita 50.

Kusoma sura kamili Ezekieli 40

Mtazamo Ezekieli 40:12 katika mazingira