Ezekieli 40:13 BHN

13 Yule mtu akapima umbali kutoka ukuta wa nyuma wa chumba kimojawapo hadi kwenye ukuta wa nyuma ya chumba upande wa pili penye nafasi ya kupitia, akapata mitakumi na mbili u nusu.

Kusoma sura kamili Ezekieli 40

Mtazamo Ezekieli 40:13 katika mazingira