Ezekieli 40:16 BHN

16 Kulikuwa na matundu madogomadogo kwenye miimo ya nje ya vyumba vyote na hata kwenye kuta zilizotenganisha vyumba. Kulikuwa na michoro ya mitende kwenye miimo ya ndani iliyoelekea ukumbi wa kupitia.

Kusoma sura kamili Ezekieli 40

Mtazamo Ezekieli 40:16 katika mazingira