Ezekieli 40:17 BHN

17 Kisha yule mtu akanipeleka mpaka ua wa nje ya hekalu. Huko kulikuwa na vyumba thelathini kuuzunguka ukuta wa nje na mbele ya vyumba hivyo kulikuwa na sakafu ya mawe.

Kusoma sura kamili Ezekieli 40

Mtazamo Ezekieli 40:17 katika mazingira