Ezekieli 40:18 BHN

18 Sakafu hiyo ilitandazwa kuzunguka malango kwa kufuatana na urefu wa malango hayo; hiyo ilikuwa sakafu ya chini.

Kusoma sura kamili Ezekieli 40

Mtazamo Ezekieli 40:18 katika mazingira