Ezekieli 40:19 BHN

19 Baadaye, yule mtu akapima umbali wa njia iliyokuwa ikitoka kwenye ua wa ndani wa sehemu ya chini ikielekea nje ya ua huo, akapata mita 50.

Kusoma sura kamili Ezekieli 40

Mtazamo Ezekieli 40:19 katika mazingira