Ezekieli 40:23 BHN

23 Kutoka hapo penye njia ya kuingilia ya kaskazini na kuvuka huo ua moja kwa moja kulikuwa na njia nyingine ya kuingilia iliyoelekea kwenye ua wa ndani, kama ilivyokuwa upande wa mashariki. Yule mtu alipima urefu wa kutoka njia mpaka njia, akapata mita 50.

Kusoma sura kamili Ezekieli 40

Mtazamo Ezekieli 40:23 katika mazingira