Ezekieli 40:24 BHN

24 Yule mtu akanichukua upande wa kusini; huko nako kulikuwako lango; alipima miimo yake na ukumbi na vipimo vyake vilikuwa sawa na miimo na kumbi nyingine.

Kusoma sura kamili Ezekieli 40

Mtazamo Ezekieli 40:24 katika mazingira