Ezekieli 40:33 BHN

33 Vyumba vyake vya walinzi, nguzo zake za ndani pamoja na ukumbi vilikuwa na ukubwa kama vile vingine. Kulikuwa na madirisha pande zote hata kwenye matao na chumba cha kuingilia. Urefu wake ulikuwa mita 25 na upana wake mita kumi na mbili u nusu.

Kusoma sura kamili Ezekieli 40

Mtazamo Ezekieli 40:33 katika mazingira