Ezekieli 40:34 BHN

34 Kile chumba cha kuingilia kilikuwa mkabala na uwanja wa nje. Mitende ilichorwa kwenye kuta kwenye nafasi ya kupitia. Kulikuwa na ngazi nane za kupandia kuelekea kwenye lango hili.

Kusoma sura kamili Ezekieli 40

Mtazamo Ezekieli 40:34 katika mazingira