Ezekieli 40:35 BHN

35 Kisha yule mtu akanipeleka kwenye njia ya kuingilia upande wa kaskazini. Basi, akaipima hiyo njia ya kuingilia, nayo ilikuwa sawa na zile njia nyingine.

Kusoma sura kamili Ezekieli 40

Mtazamo Ezekieli 40:35 katika mazingira